Saturday 25 October 2014

DARASA LA MAPENZI:HIZI NDIZO KAULI 8 TATA ZA WANAWAKE, WE MWANAUME UKIAMBIWA JIHADHARI SANA, ISIJE KULA KWAKO...!!




1. Mwanamke anaposema, 'sasa hivi' au 'dakika moja tu,' maana yake ni kwamba,
ni nusu saa ijayo. kwa mwanamke sasa hivi ya kujiandaa ina maana sasa hivi ya muda mrefu mara sita zaidi kuliko ule anaoutaja. kama akisema , 'nusu saa tu, naja,' unapaswa kwenda kufanya shughuli nyingine kwanza, kwa sababu huenda ukiamua kuamini kwamba ni nusu saa kweli, utasimama au kukaa mahali kumsubiri hadi miguu iingie tumboni au makalio yaote ganzi.

MAPENZI:KUOA SIO JAMBO DOGO KAMA UNAVYODHANI, INAHITAJI KUJIPANGA KWELI KWELI...!!



Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika
hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa mambo haya: (hizi ni gharama utakazoingia nje ya michango ya harusi)

Wednesday 23 July 2014

USINGIZI UNAVYOWEZA KUMWEPUSHA MTU NA MAGONJWA YA KISUKARI, MAGONJWA YA MOYO NA UPUNGUFU WA KINGA YA MWILI



 Unafikili ni wazo zuri kuamka  saa 11 za asubuhi na kufanya mazoezi? Je, ingekuwa vipi kama ungetumia muda huo
kulala?

HIVI NDIVYO VITU HATARI VINAVYOWEZA KUHARIBU NA KUVUNJA NDOA YA WAPENDANAO KATIKA FAMILIA!!


 WAPENZI wanagombana, ndoa zinavunjika na familia nyingi zipo kwenye msoto kwa sababu ya ubinafsi. Tunazungumza mengi lakini ukweli ni kwamba endapo kila mmoja atafanikiwa kuushinda ubinafasi, upendo utashamiri kila kona.

HAYA NDO MAMBO MHIMU YA KUZINGATIA KABLA YA KUOA AU KUOLEWA!!


 KUNA baadhi ya sababu zinazosababisha watu kuoana pasipo kufanya maamuzi sahihi. Wanandoa wengi huingia katika ndoa wakitegemea mambo mengi kubadilika, kitu ambacho ni makosa yanayosababisha ndoa nyingi kuvunjika. 

MBINU NA UJANJA WA KUMPA UMPENDAYE SABABU ZA KUKUFANYA WAKE WA MAISHA!

MACHOZI siyo suluhisho la matatizo. Baadhi ya watu wamekuwa wakilia sana baada ya kukutana na mambo ambayo hawaoni njia za kutokea. Kifupi kulia siyo tiba, zaidi unaweza kuwa unajiumiza badala ya kutafuta utatuzi

kwa wanawake;VITU ADIMU KWA MWANAMKE KUMFANYIA MME WAKE ILI ASITOKE NJE YA NDOA!!


 Mapenzi yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa dhati.

SAIKOLOJIA YA MWANAUME KATIKA MAHUSIANO NA JINSI MWANAMKE ANAVYOWEZA KUITUMIA KULETA AMANI NYUMBANI


 Kuna msemo unasema kuwa "mapenzi yanaongoza dunia" kila mtu anayo haki ya kupenda kwa mujibu wa taratibu mbali mbali za dunia hii. 

Friday 18 July 2014

HIZI NDIZO SABABU ZA NDOA ZA WATU WALIOPENDANA SANA NA KUTUMIA GHARAMA KUBWA KUACHIKA!....



 Kwenye suala la kuachika/acha/achwa haliegemei sana kwenye kuyajua mambo kitandani, kwani Ndoa au Mahusiano sio Ngono pekee Natambua kuwa Makungwi wengi wa "Kizazi Kipya" wanafunza mwanamke kuonyesha mapenzi na mavituzi ili asiachwe....na sio Maisha ya Ndoa, Uzazi n.k.  

Je unajua???Wanawake Wengi Walioolewa ni Wepesi wa Kuchepuka..Yaani Simple Kama Kumsukuma Mlevi..Sababu Ipo Hapa


Wanawake wengi walioolewa wamekuwa wepesi (achilia mbali vidada ambavyo havijaolewa, ingawa navyo ni majanga lakini, afadhali mitego yao kidogo ni negotiable).