POLISI ARUSHA YABAINI MBINU ZAIDI ZA USAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA
Pichani, askari wa Jeshi la Polisi akiwa anatoa madawa ya kulevya aina
ya Mirungi iliyokuwa inasafirishwa toka Namanga wilayani Longido
kuelekea Arusha mjini ambapo watuhumiwa walikuwa wameificha kwenye bampa
za magurudumu ya mbele pamoja na ndani ya cover milango ya mbele.
Jeshi hilo hilo lilifanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili eneo la
Ngaramtoni wilayani Arumeru ambao ni Zakayo Mwita na Juma Ramadhan ambao
walikuwa kwenye gari aina ya Noah lenye namba za usajili T.703 CMC
No comments:
Post a Comment