Wednesday, 24 April 2013

unafahamu kuwa watu wanene pia wana fishion mtizame dada huyu na kama wewe ni mnene utajfunza kitu kupitia dada huyu.......

Mtu kuwa umejaaliwa mwili ni jambo la kheri japo jamii inakazana kufanya watu wenye miili wajione hawako sawa na wanahitaji kujipunguza.

Hii inakuwa mbaya sana endapo msichana akanenepa akiwa bado mdogo wa miaka 17 mpaka 35 maana maisha yake ya usichana atayamaliza akijipa moyo wa kupungua na kukosa raha

Kweli unene unamatatizo yake kama magonjwa, uzembe na kadhalika ila unene usikufanye usipendeze hata kidogo. Badala ya mtu unajijua mnene unahangaika na majaribio ya kujipunguza yasiyokuwa na manufaa makubwa bora ukajikubali na kuanza kuhangaika kujipendezesha.

Unaweza kuwa bonge na ukapendeza kuliko hata mamodels, mradi tu ujipatie.

Leo nawaletea mdada mwenye mwili wake and she is still looking perfectly georeous.







No comments:

Post a Comment