Friday, 2 August 2013

KATIKA KISA NA MKASA LEO: Tatizo la ulevi lawavamia watoto chini ya umri wa miaka 10 chini Uingereza huku wengine wakilazwa hospitalini.

Wataalam wanasema karibu watoto wapatao 380 wamefikishwa hispitalini na kulazwa kutokana na kuchanganyikiwa kulikosababishwa na ulevi.
Kunywa pombe Uzeeni ni hatari kwa akili . mzee huanza kuwa na matatizo ya kusahau sahau na kuonekana mkosa hekima na busara.
Wataalam wagundua kuwa muziki mwaafaka ni mtamu hata zaidi ya starehe ya ngono...Muziki unamaliza uasherati.

No comments:

Post a Comment