Kwenye
interview na Heads Up, Prezzo aliweka wazi kuwa ni kweli aliwahi kuwa
na uhusiano wa muda mfupi na aliyekuwa mwakilishi huyo wa Kenya kwenye
Big Brother Africa mwaka huu.
“Tuliwahi kukutana kama mara tatu hivi nadhani alipenda alichokipata. Alinogewa,” Prezzo aliimbia Heads Up.
Anadai kuwa Huddah amechukia kwasababu hakutaka kuendelea naye.
“Huddah ni kama mali ya serikali. Amelala na karibu dunia nzima.
Unadhani rais anaweza kutulia na mwanamke kama huyo,”alihoji Prezzo.
Alidai pia kuwa Huddah amekuwa akiwasumbua wanawake wote wengine
aliowahi kuwa na uhusiano nao.
“Sijawahi kumjibu, lakini utagundua kuwa alimshambulia Goldie na Diva wa Tanzania.”
Wakati huo huo, Huddah amekuwa akitweet majibu ya kile alichokisema Prezzo.
He has realised ,ain't got time for him .That's why he is busy bringing things of the past! @BigSistaAfrica
— THEE BOSS LADY (@HUDDAHMONROE) November 15, 2013
I don't wanna brag ,but I'm the best you ever had.hehe!
— THEE BOSS LADY (@HUDDAHMONROE) November 15, 2013
Niggas don't bad mouth bitches they don't have feelings for!
— THEE BOSS LADY (@HUDDAHMONROE) November 15, 2013
Strip Clubs tonight……..I wanna learn how to strip so I can continue being a government property.
— THEE BOSS LADY (@HUDDAHMONROE) November 15, 2013
No comments:
Post a Comment