Jeneza lenye mwili wa marehemu Enea Kagine likibebwa na waombolezaji. |
Akisimulia mkasa huo kwa mapaparazi wetu, jirani wa wanandoa hao aliyejitambulisha kwa jina la Fikiri Rashid alisema:
“Mimi nyumba yangu na yao zinatazamana hivyo siku ya tukio majira ya saa tisa usiku, nilianza kumsikia marehemu akipiga mayowe ya kuomba msaada akisema mumewe anamuua.
Marehemu Enea Kagine enzi za uhai wake. |
“Baada ya kuwaona ulinzi shirikishi, alikimbilia chumbani na kwenda kujificha uvunguni kwenye kitanda huku watoto wao watatu wakiwa wamelala.
Mtuhumiwa wa mauaji hayo, Philemon Ng’ambi. |
Mama mzazi wa marehemu Enea akiwa na simanzi nzito. |
Miili hiyo ilizikwa Jumatatu iliyopita (Novemba 25) mwaka huu katika kaburi moja kwenye Makaburi ya Madale, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment