Kama wiki tena iliyopita mimi nilipofungua tu mlango wa chumbani kwangu kuelekea chooni alitoka na yeye akiwa amevaa kanga moja tu sidhani kama alikuwa amevaa hata chupi, sasa ya juzi ndio ilikuwa kali, nilipofungua tu mlango wangu majira ya kama saa sita hivi usiku nilikutana nae uso kwa uso akiwa amevaa nguo laini yenye kumuonyesha hadi upande wa pili. kwa kweli nili shuhudia kila kona ya umbo lake,Nilipo muona nilishtuka hadi yeye mwenyewe pia akanishangaa, akaniuliza vipi Dav? nilimjibu aisee wewe ni mrembo daah.
nikamuambia hebu nisubiri kidogo hapo hapo, niliiingia ndani nikatoka na simu nilimuomba kumpiga picha , huwezi amini yule binti alikubali, nikamtwanga picha, yani wala hakuona kama ni big deal, akaniuliza umemaliza. nikamuambia basi inatosha.huku yeye akiwa anatabasamu. Aliingia ndani , kwakweli aliniacha nimepigwa na butwaa. sikuweza tena kwenda chooni hata mkojo wenyewe pia ulikata nilirudi tu ndani nikalala. daaahh Hostel hizi jamani yani kama hujapitia maisha ya chuo kwakweli umepitwa sana..!!
No comments:
Post a Comment