Lipo jambo muhimu analopaswa kuzingatia kila aiye kwenye uhusiano ikiwa anataka kutosheka na penzi la mpenzi wake.
Kwanza ni lazima uitosheleze kwanza akili yako,
lakini pili,
unapaswa kuamini kwamba uliyenaye ni bora na hata ikiwa kuna kasoro, jambo la msingi ni kuzungumza kuondoa tatizo hilo, siyo zaidi.
unapaswa kuamini kwamba uliyenaye ni bora na hata ikiwa kuna kasoro, jambo la msingi ni kuzungumza kuondoa tatizo hilo, siyo zaidi.
Anachanganya mambo, hatosheki
Ukweli ni kuwa wengi wa watu wanaodai hawatosheki
katika mapenzi ni wale wanaoziachia akili zao zitake tendo la ndoa
zaidi, bila kuangalia uwezo, nafasi, hisia na afya yao ya kukutana
kimwili.
Lakini pia wengine ni kwa sababu wanavuta hisia za
wapenzi wao wa zamani, ambao labda walikuwa wana uwezo mkubwa zaidi
katika tendo hilo kuliko sasa.
Hata hivyo, wakati mwingine wanashindwa kuelewa
kuwa hata wale wanaofikiri ni wazuri, kama wangekuwa nao hadi leo,
huenda wasingeweza kuendelea kuwa imara.
Hii ni kwa sababu, watu wengi baada ya kukaa pamoja kwa muda mrefu hupoteza nguvu au shauku ya tendo hilo.
Zipo sababu nyingi za hali hiyo, mojawapo ni
kutobadilika kwa mazingira au wapenzi kuanza kutoelewa kwa sababu
mbalimbali kama vile kutojaliana na kadhalika.
Nguvu za kijinsi
Kama hukuwa unafahamu; ni kwamba, idadi ya wanaume
wasiyo na uwezo wa kufanya vyema tendo la ndoa inazidi kuongezeka.
Tafiti zinabainisha kuwa wastani wa ndoa nne kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliwa na tatizo hilo.
Tafiti zinabainisha kuwa wastani wa ndoa nne kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliwa na tatizo hilo.
Pia wanaume sita kati ya 10 wanasumbuliwa na
tatizo la nguvu za kiume, kwamba kama siyo kuwa na uwezo mdogo, basi
hukosa kabisa nguvu za kuendelea.
Wengine wanaweza kuanza, lakini hawawezi kuendelea au wengine hata kuanza ni shida.
Ingawa tiba yake ni ndogo, hasa mchanganyiko wa vyakula kama
nilivyowahi kueleza mara kadhaa.Idadi kubwa ya wanaume bado
wanasumbuliwa na tatizo hili, hasa kwa sababu ya kutokuwa tayari
kuchukua hatua hasa za kuzingatia ushauri.
Ziko sababu nyingi za kukumbwa na hali hii,
ikiwamo ulevi, kutofanya mazoezi, kujichua au utumiaji holela wa
vyakula, hasa vyenye mafuta. Hata hivyo, kwa kuzingatia tiba sahihi ya
vyakula bora, mtu anaweza kupona.
Kwa mfano kuna baadhi ya vyakula vikichanganywa
kwa ustadi kama pilipili, parachichi na kadhalika vinaweza kumfanya mtu
kuondokana na tatizo hilo.
Wapenzi wa siku nyingi
Wengi wa watu walio kwenye ndoa za miaka mingi,
wanafanya mapenzi kwa sababu tu wamepata nafasi ya kuwa pamoja, lakini
siyo kwa sababu ya kuwa na hisia kali.
Matokeo yake ni wanandoa wengi hupata msisimko
mdogo katika tendo la ndoa wanapokuwa na wenzi wao. Hata hivyo, kwa
kuzingatia utaalamu, wanaweza kuwa na furaha katika ndoa yao.
No comments:
Post a Comment