THREE WHITE DADAS BLOG

Pages

  • Home
  • HABARI
  • MICHEZO
  • LOVE STORY
  • MAKALA
  • SIASA
  • UCHUMI
  • UTAMADUNI
  • ABOUT US

TANGAZA NASI HAPA

TANGAZA NASI HAPA

Thursday, 1 May 2014

GODBLESS LEMA AZIDI KUMWANDAMA RAISI KIKWETE!!!!!!!


Mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema akihutubia wakazi wa jiji la Arusha katika viwanja vya levolosi maarufu kwa jina la Samunge hivi karibuni ambapo umati wa wakazi hao ulijitokewza kwa wingi kumsikiliza mbunge huyo

WAKAZI wa jiji la Arusha wakimsikiliza kwa makini mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alipokuwa akielezea   sababu za ukawa kujitoa katika bunge la katiba hivi karibuni na kuwataka wakazi hao watoe ushirikiano kwa wajumbe hao watakapotembelea jiji hili katika ziara zitakazofanyika nchi nzima kueleza na kushinikiza maoni ya wananchi yaheshimiwe na serikali ya ccm

 

Katika mkutano huo mh. LEMA pamoja na mambo mengine alielezea kusikiktishwa na RAISI Kikwete baada ya kuwataka wakazi wa Karatu wasiige siasa chafu za Arusha zinazoendeshwa kwa maandamano yanayoshinikizwa na lema kila linapotokea jambo linalohusu mustakabali wa maisha ya wakazi wa jiji hilo

Alisisitiza kuwa maandamano ni haki ya msingi ya kila raia wa TANZANIA ili kudai haki wanayodhani kuwa hawajapatiwa na pia ndiyo njia pekee ya kutoa sauti ya wanyonge kwa viongozi wa serikali na kudai kuwa ataendelea kuitisha maandamano ya wananchi kila mara mpaka pale ambapo serikali itawasikiliza wakazi wake wa Arusha.
Posted by WHITE DADAS at 00:43
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

STORI MPYA KALI

  • MAANA HALISI YA RANGI KATIKA ISHARA, MUONEKANO WA MTU PAMOJA NA VITO VYA THAMANI.
    Rangi inaweza kuelezea hisia zetu, matendo yetu na hata namna tunavyoweza kuvichukulia vitu  katika masuala mbalimbali ikiwemo watu, vitu...
  • KUFIKA KILELENI KWA MWANAMKE NDIO KUKOJE?
    "Mimi ni mwanamke wa miaka 30 tatizo kubwa linalonitatiza ni kuwa wakati wa kungonoka na mr. Nitajuaje kama nami pia nimekojoa??ebu...
  • Mwanamke na kufika kileleni
    Inasemekana kuwa asilimia kubwa ya wanawake huwa hawafikii kabisa kilele kwa upungufu wa nyege au matatizo mengine ya kimaumbile tukiachili...
  • SEKONDARI YA ILBORU VIPAJI MAALUM YAFUNGWA KWA MUDA USIOJULIKANA KWA HOFU YA KUCHOMWA MOTO...
     SHULE ya Sekondari ya Ilboru, jijini Arusha imefungwa kwa muda usiojulikana kuanzia leo baada ya kuwepo hofu ya kuchomwa moto.
  • UMESHAWAHI JIULIZA KWANINI BAADHI YA DADA ZETU WAKIPIGA PICHA WANAGEUZA MAKALIO YAO? JIBU HILI HAPA
                          Mwanamke anayejiamini huonekana wa Tofauti katikati ya wanawake wengi... Silaha pekee kubwa anayopaswa kuivaa ...
  • WEWE MSICHANA / MWANAMKE UNAKERWA NA KUTONGOZWA OVYO NA WANAUME ?. DAWA YAKE HII HAPA.
    Leo nimeona nizungumze juu ya tabia ya baadhi ya wanawake kutongozwa hovyo. Kiukweli ni tabia ambayo inakera. Kila ukipita huku unai...
  • WALIONASWA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA NI WANAFUNZI WA CHUO KIKUU..... UONGOZI UMEWAKANA
      CHUO Kikuu cha Kiufundi cha Mombasa (TUM) kimekanusha madai kwamba wanafunzi wake ni  makahaba wanaofanya vitendo vya ngono na mbwa.   ...
  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKA CHOONI
    MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Laurent Hoya,  amefariki dunia ghafla jana alfajiri baada ya kuanguka chooni ...
  • 18++ Hii kwa wanafunzi mnaopenda kujifotoa picha za uchi..!!
    Niwape hi kwa furaha sana wapendwa wasomaji wa safu hii, ingawa zaidi ningependa ziwafikie wanafunzi popote pale gazeti hili
  • David Beckham atangaza kustaafu kucheza mpira.
    David Beckham atangaza kustaafu kucheza mpira Nahodha wazamani wa timu ya Soka ya Uingereza David Beckham ameamua kustaafu mwisho wa msim...

About Me

My photo
WHITE DADAS
View my complete profile

POPULAR POST

  • FASHION:MISHONO YA VITENGE KWA WADADA
     
  • FAHAMU AINA 61 ZA UBANAJI WA NYWELE NA SIKUHIZI NAONA HATA KINA DADA WA BONGO WANATUMIA SANA BAADHI YA STYLES HIZI KATIKA WEAVING KUSUKA SUKA FULANI KWAKUWA HAWANA NYWELE NDEFU HAYA UBUNIFU HUO HAPO ZAIDI ENDAPO UNA WEAVING ORIGINAL UNAWEZA BANA HIVYO AU KUSUKA HIVYO ILA KUMBUKA TU WENZETU WAMEJALIWA NYWELE SO HIZO SIO FEKI
    ...
  • FASHION::MISHONO MIZURI YA MAGAUNI YA HARUSI ANGALIA HAPA..................
     
  • MAPENZI MATAMU SANA....MDADA FAHAMU NJIA 18 ZA "KUMSHIKA" KIDUME YEYOTE ULIMWENGUNI...!
    I was single once, but now i'm a wife and a mother. Nimekaa nikaona sio vibaya iwapo nta-share tips kadhaa zilizonisaidia kumuweka...
  • FASHION:Mishono Mipya ya vitenge kwa wadada hii sio ya kukosa shona upendeze
    Naweza kukiri kwamba kitenge na kanga ndio nguo pekee itakayo kutambulisha wewe kuwa ni mtu kutoka katika bara la Africa na itakufanya w...
  • MAANA HALISI YA RANGI KATIKA ISHARA, MUONEKANO WA MTU PAMOJA NA VITO VYA THAMANI.
    Rangi inaweza kuelezea hisia zetu, matendo yetu na hata namna tunavyoweza kuvichukulia vitu  katika masuala mbalimbali ikiwemo watu, vitu...
  • MISHONO MIPYA YA KITENGE 2014!!!
  • Kwa wanaume tu: Njia ya kuzuia kufikia kilele (kupizi) haraka
    Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe  pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea...
  • SOMA HAPA KAMA HUWEZI KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI KWA MUDA MFUPI NA NAMNA YA KUMKUNA IPASAVYO!!!!
                    Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa blog hii na wale wa page yetu ya facebook. kumekuwa na maombi kama huwezi ...
  • FASHION:NGUO NDEFU PIA ZINAPENDEZA KWENYE KITCHEN PARTY CHECK HAPA.................
     

Blog Archive

Simple theme. Powered by Blogger.