Hakuna
anaeweza kukili kuwa hateswi na mahusiano ya mapenzi sii mwalimu au
mzazi wala meneja hata mkurugenzi lakini mapenzi yatawala dunia nzima
sasa tujifunze hili kidogo
Wednesday, 16 July 2014
Tuesday, 15 July 2014
Sunday, 13 July 2014
KWA WENYE WAPENZI TU,,,,,,,,,, TWENDE SAWAAA
Ukweli wa siku ya leo ni kuwa mikao na mitindo ya ufanyaji wa mapenzi/ngono ni vitu viwili tofauti na vilevile kuna namna ya kufanya mapenzi/ngono kitu ambacho ni kitu kingine kabisa ambacho kinajitegemea na hutegemea zaidi nia yenu ninyi wawili au wewe peke yako siku hiyo, ndoa/uhusiano ulipo/unapokwenda, matatizo ya kimaisha, n.k.
Watumiaji wa kucha bandia hii inakuhusu,Soma kilicho mtokea huyu mdada
Msichana Sarah Greenaway mwenye umri wa miaka 17 amekosa kidole chake baada ya kutumia gundi ya kugandishia kucha bandia.
Saturday, 12 July 2014
CHUMBA CHA MAHABATI AKIHITAJI PUPA WALA PAPARA...KWA WENYE UMRI WA 18+ PEKEE PITA HAPA ILA KAMA UMEFUNGA PITA KULEEE!!!
NGUO ZINAZOFAA KUVALIWA CHUMBANI,UKIWA NA MPENZI WAKO.
KWA WALE WALIO MBAL NA WAPENZ MAWASILIANO NI MUHIMU
Wewe ni mwanamke au mwanaume ulikuwa na mpenz wako Yawezekana mlikuwa
mnafanya kazi pamoja lakini mmoja akahamishiwa mkoa mwingine au mlikuwa
mnasoma pamoja na kuanzisha uhusiano lakini baada ya kumaliza masomo
kila mmoja akarudi kwao na kujikuta mkiwa mbali mbali licha ya kwamba
mnapendana kwa dhati.
Friday, 11 July 2014
TAFAHDLI KAMA UNAJUA UMEFUNGA USIINGIE HAPA..NI KWA WASIOFUNGA TU PATA UTAMU WACHUMBANI 18+ TAFADHALI

MAMBO MAKUU 4 UNAPOKUWA CHUMBANI
NA MPENZI WAKO
Mambo ya Chumbani hayoooo!!
Fahamu mambo 4 muhimu unayopaswa
kuyazingatia uwapo chumbani na mpenzi
wako mnapotaka kufanya mapenzi.
FASHION:Mishono Mipya ya vitenge kwa wadada hii sio ya kukosa shona upendeze
Naweza
kukiri kwamba kitenge na kanga ndio nguo pekee itakayo kutambulisha
wewe kuwa ni mtu kutoka katika bara la Africa na itakufanya wewe
ujivunie Uafrika wako angalia hapa mishono mipya
UTAFITI:Simu Ya Mkononi Inaweza Kuathiri Mbegu Za Mwanaume...Soma Hapa
Uchunguzi
wa utafiti kutoka chuo kikuu cha Exeter nchini Uingereza, unapendekeza
kuwa idadi ya mbegu za uzazi za wanaume huathiriwa kwa kuweka simu za
mkononi kwenye mifuko ya suruale
Hata hivyo
,mwana sayansi wa maswala ya uzazi na shahawa,alisema kuwa ushahidi huo
bado haukuwa na uhakika wowote hivyo basi simu yake bado inaendelea
kukaa mfukoni mwake.
Subscribe to:
Posts (Atom)



