Friday, 2 August 2013

MADHARA 6 YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUME

 
Kujichua  au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukiri kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….

Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu.  
 
Leo  nitaongelea  Hasara za kujichua au kujichezea kwa  mwanaume.
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu  ya kufanya mapenzi. 

Athari kubwa ya kupiga puri ni kuwa  hupunguza  kwa  kiasi kikubwa  hisia za mapenzi  za mwanaume  na kumfanya  awe  mtumwa sawa na mtumwa  wa pombe.

2. Huathiri mfumo mzima  wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi  haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).

No comments:

Post a Comment