1.Amini Hawezi Kukusaliti
Jambo La Kwanza Kabisa Ni Kujenga Imani Kwamba Mpenzi Wako Anakupenda,
Anakuheshimu Na Kukuthamini Hivyo Hawezi Kushawishika Kwa Namna Yoyote
Ile Kukusaliti.
Hii...
Itakufanya Kuwa Na Furaha Na Yeye, Pia Utamfanyia Mambo Ya
Kumfurahisha. Ukiwa Huna Imani Na Mpenzi Wako, Unaweza Kujikuta
Unapunguza Mapenzi Kwake Na Matokeo Yake Ukachochea Yeye Kuanza
Kukusaliti. Punguza kumpekua pekua utagundua mengi yatakayokukosesha
raha bureee....kama anataka ujue utayajua tu usijipe jakamoyo bure.....
2.Mtosheleze
Mpenzi Wako Mchukulie Kama Mtoto. Unapomlisha Unahakikisha Ameshiba
Ndiyo Unamuacha. Akitaka Pipi Unamnunulia. Vivyo Hivyo Kwa Mpenzi Wako.
Mtoshelezea Katika Kila Nyanja.
3.Muoneshe Upendo Wa Hali Ya Juu,
Mpe Heshima Anayostahili Na Pale Mnapokuwa Kwenye Mambo Yetu Yalee, Mpe
Hadi Aseme Nimeshiba Mpenzi Wangu. Ukifanya Hivyo Aende Nje Kutafuta
Nini? Akienda, Huyo Ana Tamaa Zake Za Kijinga Na Ukibaini Muache Haraka
kama hajutii makosa yake.
4.Zungumza Naye
Ndiyo, Vunja Ukimya, Zungumza Naye! Si Vibaya Ukawa Unazungumza Na
Mpenzi Wako Juu Ya Mambo Yahusuyo Uhusiano Wenu. Muulize Ni Mambo Gani
Ukimfanyia Anasikia Furaha, Akikuambia Na Mambo Hayo Yakawa Ndani Ya
Uwezo Wako, Jitahidi Kumtimizia.
5.Muulize, Anachukizwa Na Mambo Gani, Akikuambia Basi Jiepushe Nayo. Hata Asipokuambia, Ukimchunguza Utayabaini Tu.
Hayo Ni Baadhi Tu Ya Mambo Ambayo Ukiyazingatia Yanaweza Kukusaidia
Katika Kumfunga ‘Spidi Gavana’ Kimtindo Mpenzi Wako Ili Asikusaliti.
Kama Itatokea Akakusaliti Licha Ya Kumfanyia Yote Hayo, Huyo Siyo Mtu Wa
Kuendelea Kuwa Naye
hahahaha haswa mi hpo nimekupata kbsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete