Friday, 2 August 2013

VITU SITA (6) USIVYOTAKIWA KUFANYA KABLA YA KULALA.


1 - USILALE UKIWA UMEVAA SAA. Saa ya mkononi ina madhara iwapo utaivaa kwa muda mrefu, wanasayansi wanashauri sio sahihi kulala ukiwa umevaa Saa(ya mkononi)

2 - USILALE UMEVAA SIDILIA(wanawake wanayovaa kwenye matiti ). Wanasayansi wa America wamegundua kuwa wanaovaa sidilia zaidi ya masaa 12 Wako kwenye hatari zaidi ya kupata Kansa ya matiti.

3 - USILALE NA SIMU IKIWA KARIBU. wanasayansi wanashauri usiweke simu pembeni kwasababu ya mionzi ya simu sio salama hasa ukiwa umelala, ni vizuri ukaizima kama ni lazima ukae nayo karibu.

4 - USILALE UKIWA UMEWEKA MAKE - UP (usoni). Hii usababisha ngozi kutopumua vizuri na kutopata usingizi kwa haraka.

5- USILALE NA CHUPI- Hili kuwa huru na kulala ni vyema ukalala bila kubanwa na kitu chochote, chupi haitakiwi. KITU CHA MWISHO NA CHA MUHIMU KULIKO VYOTE NI ....

6 - USILALE NA MKE/MUME WA MTU. wanasayansi wanasema jambo kama hili linapotokea na ukabainika linaweza chukua uhai wa mtu, ni vizuri ukawa makini sana
hapa!.

No comments:

Post a Comment