Tukio
hili limetokea huko naija baada ya jamaa kupata huduma kutoka kwa
wadada wa nne kwenye hotel fulani na asubuhi kustukia kuwa kiasi cha
pesa zake hakipo nakuanza kutoa kichapo na kuwatoa nje uchi wadada hao
hakuishia hapo aliwachapa na kuwapeleka polisi ilimradi tu warudishe au
waseme pesa yake iko wapi
No comments:
Post a Comment