Beyonce naye yumo
hapa katupia kitenge shorts, blazer na hii mwisho hapa jumpsuit
Angela Simmons na top yake ya kitenge
ukiitazama vizuri utaona ina swag fulani hivi kama shanga hivi
Huyu shost nae na kitenge chake kinavutia
Amber Rose vs Kim K
Nani kamfunika mwenzie
wote wametupiamo kitenge
Alicia Keys
Elle Varner na kitu cha Kente
Huyu jina lake sijui nani naye katokelezea na kitenge
Kelis jukwaani na kivazi cha kitenge
Nick Minaj hapa katupia jumpsuit ya kitenge
Hawa ni baadhi tu ya mastaa wa majuu wakiwa wametupia vivazi vya kitenge
Wewe usiyevaa kitenge unasubiri nini
Chagua kitenge chako unachokipenda
na wewe uwe na nguo angalau moja tu ya kitenge
No comments:
Post a Comment