hata hivyo majirani hawakuweza kutambua swala hilo kwamba yule mama alikuwa akilala na maiti ndani ya nyumba hiyo hadi ilipokuja kugundulika kwa sababu mwenye nyumba alikuwa akidai kodi yake ya mwaka , baada ya kuingia ndani ya nyumba ndipo alipo gundua hayo... sasa hivi ndivyo ilivyo kuwa
Mwanamke huyu kweli jasili sana alikuwa analala pembeni ya maiti ya mume wake kama inavyo onekana
akiwa amefariki mwanaume ambaye alikuwa na miaka 79
Maiti hii ikiwa inaendelea kuoza wakati mke wake anaendelea kulala nayo... hii ni sinto fahamu
Tazama maiti hii ilivyo kuwa imeoza, mbaya zaidi kulikuwa na baadhi ya majimaji kutoka katika mwili huu ambao ulisababisha harufu mbaya sana lakini bado mama huyu alikuwa akilala na maiti hii bila kujali, pia kulikuwa na wadudu hatari ambao wanapatikana katika mwili ulio oza kama funza lakini mama huyu alikuwa hata hajali...
Picha na Daily mail
Picha na Daily mail
No comments:
Post a Comment