Najua itakuwa ni mapema mno kuwataarifu yote ni kwasababu tunataka wote mhudhurie na isitoshe siku hiyo itaku special kwa mmoja wetu kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake,na pia wote watagraduate DIPLOMA IN MARKETING AND PUBLIC RELATIONS pia siku hiyo itakua fursa kwako kufahamu japo kwa ufupi historia ya maisha yako walikutana wapi na kuunda kundi lao la three white dadas,walikotoka paka walipofikia kwa sasa.Please kwa wasioudhuria kwasababu zilizo nje ya uwezo wao mtashuhudi matukio yote hapa hapa.Na msisahau after graduation party ni ukumbi wa oiso ukileta fujo winchi inakuvutaa.
Tunawapenda wote and we are so happy for u to be party of our selebrations.AMEN
No comments:
Post a Comment