Wanamuziki
wa kundi la P-Square Peter na Paul baada ya kutua jijini Dar usiku wa
kuamkia leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina
Nkrulu ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo limeratibiwa na
East Africa Radio na EATV.
Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao.
Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea.
No comments:
Post a Comment