Je unafurahishwa na fasheni ipi hapo?
Kiatu cha kamba kamba, cheusi au cha blue? Naam, vyovyote iwavyo, ni
wazi kabisa kuwa viatu huongeza nakshi ya mvaaji na kumfanya apendeze
zaidi. Ingawa pia hata ukiwa hujavaa kiatu na ukajua namna ya
kuupendezesha mguu wako, ni wazi unaweza kupendeza sana tu. Je, upi
mzuka wako katika hizi zifuatazo?
No comments:
Post a Comment