Thursday, 12 December 2013

HATARI:ANGALIA KIDUME HUYU ALIVYOJICHUBUA NA KUWA KAMA KA BINTI


Kuna point fulani kama mwanaume inabidi usiivuke hata ikiwa unapenda umaridadi kiasi gani, kidume hapo juu ameavua kwenda mbali zaidi kuhusiana na mambo ya kujiremba na kuamua kujibleach mwili wake kiasi cha kufikia hivyo. Una litatzamaje

No comments:

Post a Comment