TIGO NDO MTANDAO BORA WA SIMU AFRICA
Mkuu wa Idara ya Uendeshaji kutoka Tigo
Tanzania Bw. Deon Geyser akionyeshea waandishi wa habari tuzo ya
mtandao bora wa mwaka 2013 walioshinda kutoka kwa umoja wa makampuni ya
simu GSMA katika kongamano la mawasiliano na mitandao ya simu Africa
Com, iliyofanyika Capetown Afrika Kusini mwezi Novemba. Kushoto ni Mkuu
wa Mipango na Uboreshaji wa mitandao kutoka Tigo Bi. Halima Idd..
Kampuni ya Tigo Tanzania imeshinda tuzo
ya kuwa mtandao wa simu ulioboreshwa zaidi katika mwaka 2013 barani
Afrika. Tuzo hiyo iliyotolewa katika kongamano la umoja wa makampuni za
mawasiliano duniani, GSMA, liliyofanyika mwezi Novemba
No comments:
Post a Comment