Tuesday, 28 January 2014

MZEE DUDE WA FUTUHI AMEFARIKI DUNIA KATIKA HOSPITAL YA BUGANDO MWANZA


Mzee Dude enzi za uhai wake.
MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza jana jioni!
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!

No comments:

Post a Comment