Wednesday, 5 February 2014

Exclusive Hii; Angalia hapa picha live Binti afumaniwa na mume wa mtu Wakivunja amri ya sita

Sukari hugeuka shubiri pale fumanizi linapochukua nafasi na hiyo ndiyo sababu ya mwanamke anayeitwa Sheila kukiri kwamba mume wa mtu ni sumu kisha kujiapiza kuwa hatarudia tena.
 
Sheila, alifumwa na mume wa mtu anayeitwa Baba Joyce kwenye nyumba moja ya kulala wageni, iliyopo Manzesei.
Domo lagu , lilinyetishiwa fumanizi hilo baada ya vurugu kuanza na lilipofika eneo la tukio, lilimkuta mwenye mume, Mama Joyce akimsulubu Sheila kwa makonde, mateke na vichwa.

Shuhudia  picha  hapo  chini



 

No comments:

Post a Comment