Msanii
anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli"
alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba
wake wa karibu jijini Dar,nashuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya
vileo.
Tukio hili lilitokea jana usiku ikiwa ndo weekend imeanza ambapo
muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo
alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakali full
chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko
taabani.
Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba
alizocheza zinatarajiwa kutoka hivi karibuni kama vile Good fellow,2
eyes,Black Wear,Doa la maishaMen day out na nyingine nyingi very soon.
Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa
wako tasnia moja na umri wao sawa ama kwqeli Lulu kapata mpinzani
Isabela ni zaidi ya Lulu sasa.
No comments:
Post a Comment