katika shindano la kuwasaka wanafunzi wenye vipaji vya dj's, dancers,
uimbaji na na kumtafuta miss na mr katika chuo cha uandishi wa habari
na utangazaji arusha, baadhi ya wanafunzi wameweza kushinda
mataji hayo kwa kufanya vizuri
kwa upande wa miss A.J.T.C Taji hilo limechukuliwa na bi Irene Lyimo,huku mr A.JT.C akinyakua Benson Mwakakungole
Miss Irene Lyimo akiwa pamoja na Mr Benson
kwa upande wa dancers taji ushindi umechukuliwa na Bi. Vaileth Gabriel
Akifuatiwa na bi lilian deus huku nafasi ya mwisho ikishiliwa na juma
AKA Fall Ipupa
mmshindi wa kwanza bi VailetGabriel akionesha uwezo wake jukwaani
Mshind wa pili katika kundi la dancers Bi.liliaj Deus wakati akidance
mshiriki w aliyeshikilia nafasi ya Tatu juma A.K.A Fall Ipupa
Kwa Upande wa dj bora nafasi hii imenyakuliwa na Idrisa saidi
Inafasi ya uimbaji kachukua bi
katika mashindano hayo muamko wa wanafuzi
kushiriki ulikua mdogo ambapo mgeni rasmi aliyesimama badala ya mkuu wa
chuo hicho bwana Adrea Ngobole amewataka wanafunzi kutoa ushirikiano
pale yanapotokea mashindano kama hayo, amesema ni vyema wanafunz kuondoa
woga wa kushiriki katika mashindano yoyote yale kwani wanafunzi hao wana vipaji vingi
bwana Andrea Ngobole akitoanasaha zake kwa wageni waalikwa na wanafuzi
No comments:
Post a Comment