1.
Mwanamke anaposema, 'sasa hivi' au 'dakika moja tu,' maana yake ni
kwamba,
ni nusu saa ijayo. kwa mwanamke sasa hivi ya kujiandaa ina maana
sasa hivi ya muda mrefu mara sita zaidi kuliko ule anaoutaja. kama
akisema , 'nusu saa tu, naja,' unapaswa kwenda kufanya shughuli nyingine
kwanza, kwa sababu huenda ukiamua kuamini kwamba ni nusu saa kweli,
utasimama au kukaa mahali kumsubiri hadi miguu iingie tumboni au makalio
yaote ganzi.
Hivi
jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika
hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae
kwa mambo haya: (hizi ni gharama utakazoingia nje ya michango ya harusi)
Unafikili ni wazo zuri kuamka saa 11 za asubuhi na kufanya mazoezi? Je, ingekuwa vipi kama ungetumia muda huo
kulala?
WAPENZI
wanagombana, ndoa zinavunjika na familia nyingi zipo kwenye msoto kwa
sababu ya ubinafsi. Tunazungumza mengi lakini ukweli ni kwamba endapo
kila mmoja atafanikiwa kuushinda ubinafasi, upendo utashamiri kila kona.
KUNA baadhi ya sababu zinazosababisha watu kuoana pasipo kufanya maamuzi sahihi. Wanandoa wengi huingia katika ndoa wakitegemea mambo mengi kubadilika, kitu ambacho ni makosa yanayosababisha ndoa nyingi kuvunjika.
Mapenzi
yana kanuni zake, kanuni ambazo usipozifuata huwezi kupata furaha
uliyotarajia. Unapotokea kumpenda mtu, hiyo ni hatua ya kwanza lakini
omba sana upate ile bahati ya kumpenda mtu ambaye naye anakupenda kwa
dhati.
Kuna
msemo unasema kuwa "mapenzi yanaongoza dunia" kila mtu anayo haki ya
kupenda kwa mujibu wa taratibu mbali mbali za dunia hii.
Kwenye
suala la kuachika/acha/achwa haliegemei sana kwenye kuyajua mambo
kitandani, kwani Ndoa au Mahusiano sio Ngono pekee Natambua kuwa
Makungwi wengi wa "Kizazi Kipya" wanafunza mwanamke kuonyesha mapenzi na
mavituzi ili asiachwe....na sio Maisha ya Ndoa, Uzazi n.k.
Wanawake
wengi walioolewa wamekuwa wepesi (achilia mbali vidada ambavyo
havijaolewa, ingawa navyo ni majanga lakini, afadhali mitego yao kidogo
ni negotiable).