MWIGIZAJI wa kike Witness Lunyungu ‘Brandina’ aliyetamba sana na
filamu ya The Game na kuwa maarufu amewaasa wasanii wenzake wa filamu
kutokimbilia kuolewa na wanaume wasiowapenda sana kwani ni rahisi kupoteza
vipaji vyao sambamba na ajira ya uigizaji...
Blandina anadai kwamba hata yeye alikumbwa na kadhia hiyo baada ya kuolewa na mumewe ambaye alimpiga marufuku kabisa kuigiza na hivyo kumfanya "mother house".
“Kuolewa ni heshima lakini kama ni mwigizaji kabla ya kuolewa lazima uongee vizuri na mpenzi wako anayetaka kukuoa ....
"Ukikurupuka utajikuta umekuwa mama wa nyumbani na kushindwa kujinunulia vitu vyako muhimu ambavyo kama mwanamke unavihitaji, maisha ya sasa si ya kumtegemea mtu,”anasema Brandina.

No comments:
Post a Comment