Pati ya
awali ya The Roc Nation kwa ajili ya tuzo za awali za Grammy Brunch
ilifanyika LA mnamo siku ya Jumamosi, January 25, 2014 huku ikihusisha
nyota wengine toka Hollywood.
Uwepo wa Jay Z na Rihanna kilikuwa ni moja kati ya vitu vilivyogusa watu wengi waliofika kwenye tukio hilo kwa maswali kutokana aina ya pozi na kwa vile walivyokuwa pamoja.
Rihanna
alifika kwenye tukio hilo akiwa na top moja matata huku ndani yake
akiacha kuvaa bra na sketi ya toleo la Altuzzara spring 2014.
Hapa ni Rihanna na Jay Z wakichat kimtindo |
HAPA MAMBO YAKAKOLEA SASA |
No comments:
Post a Comment