Tuesday, 13 August 2013

KUCHAT NA MADEM WENGINE NI STRESS TUPU

BOY: Hi swrry,,umeamka aje??

DEM: Aaaawwww,,am gyud
shwyiraeh,,WBU??

BOY: wbu ni nini??

DEM; Loool,,dunderhead,,smh,,t
'mins
'Wat Bout You ',,daah!!

BOY: oooh,,unajua vtu zingine
naoneaga kwa gazeti ama Tv!!
hehe

DEM: hehe,,anweh,,HhUB??

BOY: hio nayo ni nini??

DEM: OMG!! ho my sapozd to chat
if
u nah get naen? it mins How have
U
bin yawa!!

BOY: Gai,,kwani unaongeaga
kihibirania sku izi??nkt,,sawa,,So
leo ju unakam unataka npike USA
ama USBzM??

DEM: loool,,and wt r thoz nw??

BOY: ooh,,thot unaelewa
kihibirania yote?? inamin unataka npike Ugali
Sukuma na Avocado ama Ni Ugali
Samaki Na Bolingo za Mbuzi??
baff!!next tym uchat ka mtu ako na akili
unaskia?ulfkiria ww tu ndo
unajua kuongea in Tongues ?Funda!!

DEM: nkkkkt

No comments:

Post a Comment