Wednesday, 20 November 2013

KWA WALE WAPENDAO KUVAA NGUO ZA VITENGE JE UNAUJUA MSHONO MZURI WA KUKISHONA KITENGE CHAKO UKAPENDEZA....

ishono hii nimeona inavutia kuishona kwa kitchen party na mimi binafsi imenivutia nimeona niwashirikishe na nyinyi wadau.

Hizi nimezipenda coz zipo sexy and yet respectable.







Fashionable Shweshwe dress


This gorgeous mermaid dress with sexy front cutouts is made of Vlisco wax print fabric imported from Holland. Headtie included. A TeKay Designs exclusive. Made in U.S.A. Order now.




Hizi nimezipenda coz ipo sexy and in chick style kwa wadada wa mujini









No comments:

Post a Comment