HII KALI:MAKAHABA WAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA KUKOMESHA UNYANYASAJI DHIDI YA WAFANYABIASHARA YA NGONO KENYA
LEO
ni Siku ya Kimataifa Kukomesha Unyanyasaji Dhidi ya Wafanyabiashara ya
Ngono Duniani. Nchini Kenya wafanyabiashara ya ngono walijumuika kwa
pamoja na kufanya maandamano ya amani jijini Nairobi na Kisumu na
kuitaka serikali ishughulikie matatizo yanayowakabili na kutaka kazi
yao itambulike rasmi kama
No comments:
Post a Comment