Saturday, 4 January 2014

Exclussive:Msanii Jaguar aonja maisha ya jera ajichanganya na wafungwa kama kawa angalia picha hapa

Picha hizi zimezua mshtuko kwenye internet kwamba Jaguar ameshikiliwa na polisi na kuwekwa jela?

jibu lake ni NO, anajiandaa tu kutoa kazi mpya inaitwa “Kioo”.

Unaambiwa alijichanganya kwenye jela ya ukweli kabisa na kukaa na wafungwa wanaotumikia vifungo kabisa ili kupata uhalisia wa atakachokionyesha kwenye video ambapo hata hivyo Wafungwa wa hii jela walifurahi kumuona.




No comments:

Post a Comment