HABARI PICHA...FASHENI HIZI BANA..TAZAMA AINA MPYA YA BRAZIA (SIDILIA) AMBAYO HAINA MIKANDA, HUNASA YENYEWE KWENYE MATITI..!!
Mwaka mpya na mambo mapya hii ni sidilia ambayo haina mikanda
imetengezwa kwa ubunifu mkubwa ili kuondoa ule usumbufu wa kubanwa na
mikanda, Pia husaidi matiti kukaa vizuri na kurekebisha shape ya matiti...
No comments:
Post a Comment