Saturday 18 May 2013

MTOTO ALIYEPIGWA MAPANGA NA BABA YAKE AFARIKI DUNIA



Mtoto Devotha Gerald (4) aliyepigwa mapanga na baba yake, polisi mstaafu Samson Bwire Amefariki dunia baada ya jitihada za madaktari kuokoa maisha yake kushindikana...
 
Mtuhumiwa wa tendo hilo ambaye naye alipigwa vibaya na wananchi wenye hasira yuko mikononi mwa jeshi la polisi....
 
Tendo hili lilitokea mkoani Shinyanga. 

kama ukusoma habari hii pitia kwenye blog hii three white dadas blog

No comments:

Post a Comment