NYOTA wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula na Irene Uwoya wamedaiwa kutelekezwa katika Baa ya Miles Stone, Arusha.
Kwa
mujibu wa chanzo chetu, wawili hao walifika katika baa hiyo hivi
karibuni na kuwasubiri vibosile maarufu wa madini ili waweze kula bata
lakini wakawatelekeza hivyo wakabaki peke yao bila kuwa na vinywaji
mezani.
Johari alipoulizwa kuhusiana na tukio hilo, alisema: “Hayo ni
mambo ya blogu, mbona nina muda sana tangu nitoke Arusha, ipotezee hiyo
habari.”
No comments:
Post a Comment