Saturday 1 February 2014

ONGERA SANA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI ARUSHA KWA KUPATA MISS AND MR.AJTC...MATUKIO KATIKA PICHA........

 
 
Baadhi ya washiriki waliokuwa wakichuana katika kinyanganyiro cha kuwasaka wanafunzi wenye vipaji
 
katika shindano la kuwasaka wanafunzi wenye vipaji vya dj's, dancers, uimbaji na na kumtafuta miss na mr  katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha, baadhi ya wanafunzi wameweza kushinda mataji hayo kwa kufanya vizuri
kwa upande wa miss A.J.T.C Taji hilo limechukuliwa na bi Irene Lyimo,huku mr A.JT.C akinyakua Benson Mwakakungole
 Miss Irene Lyimo akiwa pamoja na Mr Benson
 
kwa upande wa dancers taji ushindi umechukuliwa na Bi. Vaileth Gabriel Akifuatiwa na bi lilian deus huku nafasi ya mwisho ikishiliwa na juma AKA Fall Ipupa
mmshindi wa kwanza bi VailetGabriel akionesha uwezo wake jukwaani
                                       Mshind wa pili katika kundi la dancers Bi.liliaj Deus wakati akidance
                                                        
mshiriki w aliyeshikilia nafasi ya Tatu juma A.K.A Fall Ipupa
 
Kwa Upande wa dj bora nafasi hii imenyakuliwa na Idrisa saidi
 

Inafasi ya uimbaji kachukua bi  
 
 
 
katika mashindano hayo muamko wa wanafuzi kushiriki ulikua mdogo ambapo mgeni rasmi aliyesimama badala ya mkuu wa chuo hicho  bwana Adrea Ngobole amewataka wanafunzi kutoa ushirikiano pale yanapotokea mashindano kama hayo, amesema ni vyema wanafunz kuondoa woga wa kushiriki katika mashindano yoyote yale kwani wanafunzi hao wana vipaji vingi
bwana Andrea Ngobole akitoanasaha zake kwa wageni waalikwa na wanafuzi
 
 
 

No comments:

Post a Comment