Saturday 1 February 2014

WABUNGE WAJIPA MKONO WA KWEHERI WAKISUBIRI UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015...SOMA HAPA KUELEWA NI MKONO GANNI

Kumekuwa na ghadhabu  Tanzania kufuatia uamuzi wa wabunge kujiongeza maelfu ya dola kama marupurupu.


Pesa hizo wanasema ni mkono wa kwaheri.
Marupurupu hayo yatatolewa kwa kila mbunge wa bunge la Tanzania lenye wabunge 357 wakati watakapokamilisha muhula wao wa tano kama wabunge.

Kila mbunge nchini Tanzania, hupokea mshahara wa dola elfu saba kila mwezi.

Wananchi wameshtushwa sana na marupurupu hayo hasa baada ya kuambiwa na serikali kuwa hakuna pesa za kutosha kwa matumizi ya huduma za jamii. 


Kikao cha bunge 

No comments:

Post a Comment