Tukio hilo lilitokea siku ya jumatatu katika hospitali ya Kargo nchini Nigeria...
Taarifa zinadai kuwa mwanamke huyo ambaye ni mkazi wa kijiji cha SabonIcel alijifungua mtoto wa ajabu anayefanana na Nyani, hali iliyomfanya afariki dakika chache baada ya kuzaliwa
Kilichowashangaza ni sura ya mtoto aliyezaliwa,nusu alikuwa binadamu na nusu nyingine alikuwa ni nyani.
Daktari huyo anadai kwamba mtoto huyo alikuwa na uzito wa kilo 4 na kwamba alifariki dunia dakika chache baada ya kuzaliwa
No comments:
Post a Comment