SWALI;
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28 na ni bikira tatizo nimepata mchumba tumepima ukimwi na tuko kwenye process za ndoa.
Tatizo
mimi ni mwembamba yeye ni mnene na mboo yake ni kubwa na ndefu akitaka
kuanza kuniingilia kwa ajili ya kufanya mapenzi naumia mno anaishia
kuingiza kichwa tu.
Hebu nisaidie nifanyeje na nakaribia kuingia kwenye ndoa. Pili nataka kujua sehemu zipi nimshike ili apate raha.
******************************
JIBU:
Kwanini unasema "tatizo nimepata mchumba"? Inamaana
haukotayari kuolewa nae? Kwanini udhanie kuwa na mchumba ni tatizo?
Wembamba wako hauna uhusiano wowote na unene wake kwenye suala la kufanya mapenzi.
Kwa
kawaida kuingiliwa kwa mara ya kwanza (tolewa Bikira) kunauma na sio
wanawake wote wanaotolewa Bikira siku ya kwanza kwani hushindwa
kuvumilia maumivu na hujawa na Uogoa hivyo misuli ya uke inashindwa
kujiachia(relax).
Ndio maana zamani wakati Mabinti wanaolewa
na Bikira walikuwa wanakaa ndani siku Saba, Usiku wa ndoa Bikira
inatolea na siku saba baada ya hapo mwanamke "anazoeleshwa"
uume(kuingiliwa ukeni) na yeye kuonyesha mambo mengine ya kimapenzi
aliyofundwa kwao.
Ikiwa Mchumba wako amefanikiwa kuingiza
kichwa ni wazi kuwa wewe sio Bikira tena, isipokuwa Uke wako haujazoea
kuingiliwa na kitu kinene na kigumu + hofu ya kuumia.
Vilevile
kichwa cha uume huwa kikubwa kiasi kuliko sehemu ya nyuma ya Uume,
ikiwa kichwa kinaingia ni vema kama utavumilia ili aendelee kuingia
taratibu na kwa hatua, sio anaingia moja kwa moja na kwanguvu na shauku
zake zote....utaumia na kumchukia!!
Weka uaminifu kwa Mchumba
wako na muombe aingie taratibu-taratibu, usiwe na haraka ya kuzoea leo
au kesho! Unaweza kusubiri mpaka mtakapofunga ndoa na kwenye Fungate
ndio mkazoeshane.
Wanaume wanatofautiana hivyo siwezi kusema
umshike wapi ili afurahie kwani mie simjui(sijawahi kuwa nae
hehehehehe)....anyway! Kuna maeneo ambayo ni General na mengine jaribu
kubahatisha au kutafuta jinsi mnavyozidi kuzoeana.
--Kubusu shingo katika mtindo wa kuuma kwa mbaaali
--Busu
au papasa juu ya Kinena(sehemu inayoota mavuzi) au niseme kiunoni kwa
mbele hivi kama unaelekea chini ila usifike kwenye uume.
--Lamba
katika mtindo wa kunyonya Chuchu, hakikisha unazinyonya kwa kupokezana,
usibaki kwenye chuchu moja kwa muda mrefu kwani utampoteza "msisimko".
--Masikio,
unaweza kuwa ni sehemu ya chini, kwa nyuma au kwa ndani kama sio sikio
lote. Tumia midomo yako kulamba, busu, hemea na nong'oneza maneno matamu
kumfanya Mchumba wako asikie raha na kuelewa hisia zako kwake.
--Busu katika mtindo wa kulamba sehemu ya ndani ya mapaja yake, pia busu sehemu ya nyuma ya kiuno(juu kidogo ya makalio yake).
--Shika
Kende zake na kuzichezea(taratibu usimuumize) na tumia midomo yako
kutumbukiza pumbu na kuzitoa kama vile unapuliza ki-slow-mo.
Anza na hivi, vingine tutaendelea kuelekezana jinsi unavyoendelea na maisha yako ya ndoa.
Maana ukionyesha mengi jamaa anaweza kukushangaa....Lol!
Hongera sana kwa kuchumbiwa na kila la kheri kwenye maandalizi ya Ndoa yenu. Mungu awaongoze na kuwalinda.
No comments:
Post a Comment