Kutokana na maswahibu makubwa yaliyompata Ray C juu ya
madawa ya kulevya, ameshindwa kujizuia kutokusema ya moyoni mwake juu ya
mwanadada Jack Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini china.
Kafunguka maneno mengi sana na alionyesha ni jinsi gani alivyokuwa
hamuonei huruma mwanadada Jack mpaka kuamua kutamka bora anyongwe tu.
Soma alichokisema hapa
No comments:
Post a Comment