Saturday 15 June 2013

MWANAMKE ANASWA AKIVUNJA AMRI YA SITA VICHAKANI HUKU AKIWA NA MTOTO MCHANGA MGONGONI



Mwanamke  mmoja  amenaswa  akifanya  uchafu  porini  huku  akiwa  na  mtoto  mchanga  mgononi...

Tukio  hilo  la  kusikitisha  liliwanasa  wawili  hao wakiridhishana  chini  ya  kichaka  huku  mtoto  mchanga  akionekana  kulia  kwa  huzuni.....

Haijafahamika  mara  moja  kama  watu  hao  ni mtu  na  mume  au  ni  wazinzi  tu...!!!

No comments:

Post a Comment