Wednesday 20 November 2013

ALALA NA WANAWAKE WA NNE, KISHA KUTOA KICHAPO NA KUWATOA NJE UCHI BAADA YA KUHISI WAMEMUIBIA PESA.



Tukio hili limetokea huko naija baada ya jamaa kupata huduma kutoka kwa wadada wa nne kwenye hotel fulani na asubuhi kustukia kuwa kiasi cha pesa zake hakipo nakuanza kutoa kichapo na kuwatoa nje uchi wadada hao hakuishia hapo aliwachapa na kuwapeleka polisi ilimradi tu warudishe au waseme pesa yake iko wapi

No comments:

Post a Comment