SINTAH AMTOLEA UVIVU OMMY DIMPOZ NA KUMPA LAKE LA ROHONI,HIKI NDICHO ALICHOSEMA........
S
inta ameandika haya yafuatayo kwenye website yake
MDOMO UMEMPOZA HUYU KIJANA
dah maskini akipata matako hulia mbwata,yaani nimesikitishwa na habari ya ommy dimpoz na kauli yake aliyotoa kwenye umma,hivi wewe dimpoz unajua nini cha kuongea mbele ya public??sometmes usipende kuropoka tu hata wewe ukifa tutajuaje kwenye benk account yako kuna kiasi gani acha kuongea....
No comments:
Post a Comment