Tuesday 14 May 2013

ZITTO KABWE APIGWA KIBUTI LIVE MTANDAONI NA DEMU WAKE ( LOVENESS DIVA).




Waswahili  husema  ..."Mapenzi  ni UCHIZI"... 
Hili  ndo  tunalolishuhudia  kwa  Mh Zitto  na Manzi  wake MAPEPE ( Loveness Diva )  ambaye  ameamua  kumtema  na  kupeleka  penzi  lake  kwa Prezzo wa Kenya....

Kwanza  ulianza  ujumbe  wa  kumpongeza  Prezzo  na  ahadi  ya  kumtema  RAIS WETU MTARAJIWA....

 



No comments:

Post a Comment