Haya ndo madhara ya kulala na watoto chumba kimoja...
Huyu ni binti wa miaka 2 ( makadirio) ambaye ameamua kuwaumbua wazazi wake kwa matendo yao ya usiku ambayo amekuwa akiyashuhudia....
Walipoamka asubuhi, binti alimfuata baba yake na kumwambia kuwa jana aliwashuhudia wakiwa UCHI...
Baada ya kauli hiyo, baba alistuka kidogo na kutaka kujua zaidi toka kwa mtoto huyo kwa kumuuliza tena ni nani kati yake na mama yake alikuwa UCHI....
Bila woga wowote, binti alimjibu na kumwambia, "Nilikuona wewe na mama mkiwa UCHI"
Baba akauliza tena, "Baadae kilitokea nini?"
Mtoto akamijbu: Nilianza kumsikia mama akisema oooh..oooh...oooohsssssh
Baba hakuridhika, ikabidi aulize tena: Na mimi je?
Mtoto: Wewe ulikuwa unasema uuuuuh...uuuuuh...uuuushhhhh
No comments:
Post a Comment