Je inawezekana mwanaume akamgundua mwanamke anayefanya naye
mapenzi hakufika kileleni bali anajifanya tu? Kama wewe ni mwanaume
ambaye unajali iwapo mpenz wako amefika kileleni au anajifanya tu,basi
una nafasi kubwa ya kugundua uongo wake. Lakini iwapo ww ni mwanaume
unayejali raha yako peke yako (wanaume wengi wako hivyo) basi hutajal
kama umefanikiwa kumfikisha kileleni au la.
Kuna dalili nyingi ambazo zinaonyesha kuwa mwanamke bado
hajafika kileleni. Kwanza ni muhimu kukumbuka kuwa kufikia kileleni kwa
nmwanamke sio jambo la mwili peke yake bali ni pamoja na hisia za nafsi
yake,vitu hivi viwili huenda pamoja hivyo uonapo kuwa mwanamke haonyeshi
uchangamfu juu ya kipindi mnafanya mapenzi au anajaribu kukuharakisha
basi ujue kuwa upo uwezekano mkubwa sana mwanamke huyo hatafika kileleni
bali atajifanya tu. Jambo la pili la kuangalia ni mwanamke ambaye
anadai kufika kileleni baada ya muda mfupi,umekuwa umejiandaa kufanya
mapenzi kwa muda mrefu mara tu kama radi unasikia mwana mke anasema au
kukuonyesha kuwa amefika kileleni hapo fahamu kuwa upo uwezekano mkubwa
kuwa umedanganywa.
Vitu mbalimbali huonekana pale mwanamke afikapo kileleni
kwa mfano wanawake wengine huwa wakimya sana na mawazo yao na nafsi zao
zimezama katika wimbi la raha wanayoipata,wanawake wengine hupiga kelele
na kumshika mwanaume kwa nguvu sana na kumbana au kutoa milio
fulani,chuchu za matiti husimama,rangi ya ngozi hubadilika na kutokwa na
jasho jingi.Usipo yaona baadhi ya mambo haya,hasa kusimama kwa chuchu
za titi basi kuna uwezekano mkubwa mwanamke huyo hajafika kileleni.
Wanawake wengi wafikapo kileleni hupumua haraka haraka na
uke wao utabana uume wako,mapaja yake hutetemeka na hukunja mgongo na
miguu pia kama hutayaona hayo upo uwezekano mkubwa hajafika kileleni
japo anaweza kusema amefika. Mwanamke aliyefika kileleni KISIMI chake
wengine huita KINEMBE kinakuwa laini mno kiasi kwamba hataki aguswe na
chochote katika kiungo hicho naarufu. Hivyo uonapo bado anaendelea
kukata kiuno japokuwa amesema ameshafika kileleni na haonyeshi dalili za
kujisikia vibaya au kupunguza kasi yake au kusimama kabisa basi jua
kuwa upo uwerzekano umedanganywa.
Njia nzuri ya kumgundua kama kweli anenda klileleni
unapofanya naye mapenzi ni kuacha ghafla katikati ya sex,utakapo fanya
hili ataonyesha hali ya kutofurahia hatua hiyo kama alikuwa hakaribii
kileleni basi hakutakuwepo na tofaut yeyote kwake na hataonyesha hali ya
kutofurahia kukatishwa kwa kitu ambacho hakikuwepo hivyo kujifanya
kwake kutakuwa dhahiki kwako. Kufika kileleni katika mapenzi kunahusisha
utumiaji mkubwa wa nguvu za mwili,hivyo kama kasi yake ya kupumua
haikubadilika sana basi atakuwa anakudanganya asemapo amefika kileleni,
pili iwapo mwanamke ataweza kuinuka na kutoka kitandani na kwenda
kufanya vitu vingine mara baada ya kusema au kuonyesha kuwa alifika
kileleni atakuwa amekudanganya kwani kufika kileleni hutumia nguvu
nyingi za mwili na huhitaji pumziko refu kidogo. Au uonapo mara baada ya
kufika kileleni anaanza maongezi ya kawaida kabisa, jua uongo umekuja
kwani mara ya baada ya kufika kileleni mwanamke huwa anafikiria kitu
kimoja tu na kitu hicho ni alivyofurahia na kuridhika na ubingwa wa
mwanaume katika tendo hilo.
No comments:
Post a Comment