Akizungumza na paparazi wetu, ‘hazibandi’ wa staa huyo ambaye pia ni meneja wake, Gadna Habash ‘Kapteini’ alisema kuwa ‘waifu’ wake huyo alipata maambukizi katika koo lake hivyo akatumia dawa ambazo hazikustahili.
Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ akichezea simuHospitali ya Primier Care.
“Mwanzo hata sisi tuliogopa sana kwa sababu alikuwa na homa kali lakini tulipomfikisha hospitalini waligundua kuwa alitumia dawa ambazo siyo tiba ya tatizo lake ambazo ndizo zilimdhuru, lakini hivi sasa yuko sawa na anaendelea na shughuli zake,” alisema Kapteini ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Maskani cha Radio Times FM
No comments:
Post a Comment