Alipofika eneo hilo aliloelekezwa hakukuwa na bakery alijaribu kuulizia hakufanikiwa kupata bekari, alimpigia tena mke wake simu na kumuuliza mbona maeneo haya hakuna bakery? mwanamke akajibu nimeshatoka huko niko njiani sasa hivi nakaribia kwa rafiki yangu.
Jamaa alirudi tena kwa hasira na kufika pale kwa huyo rafiki yake. akamkuta mke wake yuko pale akamuomba warudi nyumbani. Walivyofika nyumbani jamaa akamuuliza mke wake ulikuwa wapi? mwanamke akajibu kwa rafiki yangu, huku akiogopa na kuonekana ana wasi wasi.
Alichukua simu yake meseji ya kwanza aliyokutana nayo ni ya mwanaume ikisema "nipo kwangu mpenzi mbona hufiki" jamaa alianza kushusha kipigo cha mbwa mwizi hadi kufikia kumkata mwanamke huyo vidole na kumuumiza vibaya.
No comments:
Post a Comment