Tuesday 21 January 2014

LAANA KUBWA HII...!"WAPUMBAVU" WAMU-EDIT MKE WA OBAMA NA KUMUWEKA MTUPU 20 PICHAZ....!THIS IS NOT FAIR AT ALL....

First Lady Michelle Obama smiles while she visits Marbella, southern Spain.

Inashangaza sana..hii dunia sijui ndio mwisho wake ushafika au ni vipi...Wapumbavu waliokosa kazi za kufanya wamefikia hatua ya kutengeneza picha zaidi ya 20  feki za first lady wa taifa lenye nguvu kubwa duniani Marekani Bi Michelle Obama na kumuweka mtupu kabisa...Baadhi ya picha hizo zimeshaanza kusambaa katika blogs za kitanzania, na mbaya zaidi wanapost kwa kuandika kama ni real Michelle, shwaini...!
Hali inayowawafanya mpaka baadhi ya watu wanaamini kuwa ni real Michelle Obama maskini...TUBADILIKE JAMANI...Inasikitisha kwa vitendo hivi vinavyofanywa na watu kwa ajili ya maslahi yao binafsi bila kujali utu wa mtu...!
Mama huyuo aliyejijengea sifa kubwa duniani kama mwanamke shupavu kwa kumtenda hivi hakika hawa watu hawana utu wala akili timamu, timu nzima ya threewhitedadas inalaani kitendo...Tunayo collection nzima ya picha hizo ila hatutoweza kuziweka kutokana na heshima kwa Michelle na hasa ukizingatia tumeshagungua kuwa picha hizi ni feki...!KAWAKOSEA NINI NYIE WAPUMBAVU?!!
...THIS IS UNFAIR AT OL..SHAME ON YOU GUYS...
 

1 comment:

  1. mbona unatetea sana je wewe unauhakuka gani kama sie? kwani yeye mungu?

    ReplyDelete