THREE WHITE DADAS BLOG

Pages

  • Home
  • HABARI
  • MICHEZO
  • LOVE STORY
  • MAKALA
  • SIASA
  • UCHUMI
  • UTAMADUNI
  • ABOUT US

TANGAZA NASI HAPA

TANGAZA NASI HAPA

Thursday, 1 May 2014

GODBLESS LEMA AZIDI KUMWANDAMA RAISI KIKWETE!!!!!!!


Mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema akihutubia wakazi wa jiji la Arusha katika viwanja vya levolosi maarufu kwa jina la Samunge hivi karibuni ambapo umati wa wakazi hao ulijitokewza kwa wingi kumsikiliza mbunge huyo

WAKAZI wa jiji la Arusha wakimsikiliza kwa makini mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema alipokuwa akielezea   sababu za ukawa kujitoa katika bunge la katiba hivi karibuni na kuwataka wakazi hao watoe ushirikiano kwa wajumbe hao watakapotembelea jiji hili katika ziara zitakazofanyika nchi nzima kueleza na kushinikiza maoni ya wananchi yaheshimiwe na serikali ya ccm

 

Katika mkutano huo mh. LEMA pamoja na mambo mengine alielezea kusikiktishwa na RAISI Kikwete baada ya kuwataka wakazi wa Karatu wasiige siasa chafu za Arusha zinazoendeshwa kwa maandamano yanayoshinikizwa na lema kila linapotokea jambo linalohusu mustakabali wa maisha ya wakazi wa jiji hilo

Alisisitiza kuwa maandamano ni haki ya msingi ya kila raia wa TANZANIA ili kudai haki wanayodhani kuwa hawajapatiwa na pia ndiyo njia pekee ya kutoa sauti ya wanyonge kwa viongozi wa serikali na kudai kuwa ataendelea kuitisha maandamano ya wananchi kila mara mpaka pale ambapo serikali itawasikiliza wakazi wake wa Arusha.
Posted by WHITE DADAS at 00:43
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

STORI MPYA KALI

  • HISTORIA YA WACHAGA
    Wachagga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro , mkoani Kilimanjaro . Sh...
  • JINSI YA KUMJUA MPENZI LAGHAI NA MUONGO
    Inawezekana upo katika uhusiano na tapeli wa mapenzi bila kujua, hiyo ni sumu na unachotakiwa kufanya sasa ni kuanza kumchunguza mpenzi...
  • RAISI KIKWETE AMUOMBA RAISI WA UGANDA AONGEE NA KAGAME ILI KUONDOA UGOMVI ULIOPO unajua alichomuambia soma hapaaa.........
      RAIS Jakaya Kikwete, amewasiliana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ili azungumze na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa nia ya kumaliza m...
  • Fahamu chanzo cha kwikwi na matibabu yake
    Unaweza kumtisha mtu akazimia, hata kupoteza maisha kama alikuwa na magonjwa mengine kama ya moyo.
  • SAMAKI HATARI WAINGIZWA NCHINI;
    Afya za Watanzania ziko shakani kutokana na kuwapo kwa biashara ya kuingiza samaki kutoka nje ya nchi, wanaodaiwa kuharibika na kuuzwa k...
  • MWALIMU AFA KIMIUJIZA JIJINI DAR
    Mwalimu Gloria Tarimo ‘Ticha Gloria’ (29) aliyekuwa akifundisha katika Shule ya Mbezi High School ya jijini Dar, amefariki dunia katika mazi...
  • TANZANIAN CULTURE CLOTHING
                                                                   Watanzania ni lazima tujivunie mavazi yetu tuvae mavazi kulingana ...
  • DUUH::ETI HUYU NDIO MWANAMKE MWENYE MWILI WENYE THAMANI KUBWA KULIKO WANAWAKE WOTE DUNIA
     Her name is Amanda Lepore, a transsexual who has been tagged as 'the most expensive body on earth'. The 46 years old blonde ha...
  • UKICHECHE WAMFANYA MR. NICE AZOMEWE NCHINI KENYA........
    Mtandao wa ghafla kutoka Kenya umeripoti kuwa, msanii Mr Nice, amejikuta akizomewa na umati wa watu waliokuwa katika Club moja inayoitwa ...
  • IF YOUR HUSBAND STRAYS, IT'S YOUR FAULT WOMAN
    The recent wave of straying men is alarming. In fact, the issue of having ‘clandes’ otherwise known as ‘mpango wa kando’ has come to the ...

About Me

My photo
WHITE DADAS
View my complete profile

POPULAR POST

  • FASHION:MISHONO YA VITENGE KWA WADADA
     
  • FAHAMU AINA 61 ZA UBANAJI WA NYWELE NA SIKUHIZI NAONA HATA KINA DADA WA BONGO WANATUMIA SANA BAADHI YA STYLES HIZI KATIKA WEAVING KUSUKA SUKA FULANI KWAKUWA HAWANA NYWELE NDEFU HAYA UBUNIFU HUO HAPO ZAIDI ENDAPO UNA WEAVING ORIGINAL UNAWEZA BANA HIVYO AU KUSUKA HIVYO ILA KUMBUKA TU WENZETU WAMEJALIWA NYWELE SO HIZO SIO FEKI
    ...
  • FASHION::MISHONO MIZURI YA MAGAUNI YA HARUSI ANGALIA HAPA..................
     
  • MAPENZI MATAMU SANA....MDADA FAHAMU NJIA 18 ZA "KUMSHIKA" KIDUME YEYOTE ULIMWENGUNI...!
    I was single once, but now i'm a wife and a mother. Nimekaa nikaona sio vibaya iwapo nta-share tips kadhaa zilizonisaidia kumuweka...
  • FASHION:Mishono Mipya ya vitenge kwa wadada hii sio ya kukosa shona upendeze
    Naweza kukiri kwamba kitenge na kanga ndio nguo pekee itakayo kutambulisha wewe kuwa ni mtu kutoka katika bara la Africa na itakufanya w...
  • MAANA HALISI YA RANGI KATIKA ISHARA, MUONEKANO WA MTU PAMOJA NA VITO VYA THAMANI.
    Rangi inaweza kuelezea hisia zetu, matendo yetu na hata namna tunavyoweza kuvichukulia vitu  katika masuala mbalimbali ikiwemo watu, vitu...
  • MISHONO MIPYA YA KITENGE 2014!!!
  • Kwa wanaume tu: Njia ya kuzuia kufikia kilele (kupizi) haraka
    Sababu ya tatizo hili huweza kuwa ya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe  pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii, endelea...
  • SOMA HAPA KAMA HUWEZI KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI KWA MUDA MFUPI NA NAMNA YA KUMKUNA IPASAVYO!!!!
                    Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa blog hii na wale wa page yetu ya facebook. kumekuwa na maombi kama huwezi ...
  • FASHION:NGUO NDEFU PIA ZINAPENDEZA KWENYE KITCHEN PARTY CHECK HAPA.................
     

Blog Archive

Simple theme. Powered by Blogger.